Kiukweli Afrika bado tupo nyuma sana,picha ya juu na ya chini unaweza kutofautisha Wali na ukoko.
kwenye kula kuna nyakati na zina majina,kama Breakfast,Lunch Dinner n.k ila wakati huo pichani sijui tunaweza kuuitaje? wadau mnaweza kunisaidia..................