Ndio kiwango cha mpira cha nchi yetu hakipandi. Wachezaji wanajishughulisha na fani za wanawake zaidi kuliko mpira. Hebu angalia, kuna mchezaji gani mstaafu ambaye tunaweza kumuonesha kwa kidole kuwa maisha yake mazuri hata baada ya kustaafu soka? Wote wana watoto kila kona ya nchi,watoto hawana huduma na baba zao wanaaibika tu mitaani.Ngasa usipofungua macho na we ndio uelekeako. Muone J. Kiwelu, A.Salum,Zamoyoni Mogela nk. Wanawake walikuwepo na wataendelea kuwepo.
1 Comments