Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Songas,Bw Christopher Ford aliyemtembelea leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa Songas Bw Christopher Ford na maofisa wa kampuni hiyo leo Ikulu jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya 1 Plus Communicatios,Fina Mango aliekongozana kiongozi huyo na ujumbe mzima.Picha na Ikulu.
0 Comments