Mshambuliaji wa timu ya mkoa wa Morogoro, Hosea balaigwa (kushoto) akijaribu kumtoka mchezaji wa Mara, John Oganje wakati wa mashindano ya  castle Lite Taifa Cup katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Leaders Dar es salaam jana.
Joseph Joseph wa mkoa wa Morogoro akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa timu ya Mara, John Oganje na Frank Joashi.
 Nelson Mlawa wa mkoa wa Morogoro (kushoto) akiruka juu kuifungia timu yake huku mlinzi wa timu ya mkoa wa mara Dennis Chibura akijaribu kumzuia wakati wa mashindano ya  mashindano ya  castle Lite Taifa Cup katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Leaders Club Dar es salaam jana.
Robert kajibwa wa mkoa wa Mara akiruka juu kuifungia timu yake wakati ilipopambana na timu ya mkoa wa Morogoro katika mashindano ya Castle Lite Taifa Cup uliofanyika kwenye Uwanja wa Leaders Club jijini Dar es Salaam .