Washiriki wa shindano la Mitumbwi Balimi Extra Lager wakiwa katika usahili wakijiandaa kuanza mashindano Mwaloni Jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Washiriki wa shindano la Mitumbwi Balimi Extra Lager wakiwa tayari kuondoka wakisubili filimbi kupulizwa
 Washiriki wa shindano la Mitumbwi Balimi Extra Lager wakiondoka baada ya filimbi kupulizwa.
Washiriki wa shindano la Mitumbwi Balimi Extra Lager wakiwa katikati ya maji wakati a shindano hilo .
Wakazi wa Jijini Mwanza wakishuhudia mashindano ya Mitumbi ya Balimi Extra Lager Mwaloni Jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.

KWA PICHA ZA MATUKIO ZAIDI NI HAPO BAADAE KIDOGO.