Ofisa Mauzo wa Benki ya Posta, David Philipo akitoa maelezo kwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi juu ya huduma ya Benki Popote inayotolewa na benki hiyo wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam. (Picha na Tiganya Vincent, Maelezo).