Baadhi ya wazazi wakiwa na watoto wao waliojifungua katika mkesha wa Mwaka Mpya kwenye Hospitali ya Mwananyamala. Kutoka kushoto ni Rehema Ramadhani, Faustina Mtewele, Neema Kipokola na Maria Samwel. Kwa mujibu wa Ofisa Muuguzi wa zamu, Esther Swai, watoto 16 walizaliwa, wanane ni wa kiume. (Picha na Mohamed Mambo).