Wajumbe wa Baraza la Seneti la Marekani pamoja na Melinda Gates wakimkabidhi mkulima wa Arusha mbegu maalumu za mahindi kama sehemu ya dhamira ya Mfuko wa Bill na Melinda Gates, kuchangia maendeleo nchini. Hafla hiyo ilifanyika katikati ya wiki hii, mkoani humo. (Picha ya Ubalozi wa Marekani).