Daraja hili lenye urefu wa mita 500 limejengwa juu ya mto Lyandembera likiunganisha kitongoji cha Kinyasuguni na Mahango, Madibira, wilayani Mbarali mkoani Mbeya. Limejengwa kwa Sh milioni 10.(Na F.Kidevu)