Enzi hizoo ili uonekane na wewe mjanja lazima upitie mambo ya kuburuzana na ujanja wako utaishia pale mzazi akikuona hivyo,eeeh bwana weee utakula fimbo mpaka basi.Ila mpaka leo ukitembelea baadhi ya mikoa ya Watani zangu,Wagogo,Wahehe,Waha,Wamakonde WAZARAMO na wengine ambao wanajijua utakutana na hii kitu bado inatamba kila ukicha.(Na daniel wa Kampala UG)