Jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) lililopo Mazizini Unguja lililofungulwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Moh'd Shein ikiwa ni sehemu ya Sherehe ya kufikia Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa ZRB leo baada ya funguzi wa jengo lao jipya lililopo mazizini Unguja.PICHA ZOTE NA HAMAD HIJA - MAELEZO ZANZIBAR.