Rais Jakay Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron mjini Davos, Uswisi.Picha na IKULU.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Bill and Melinda Gates Foundation Bw. Bill Gates wakati wa Kongamano la Uchumi Duniani mjini Davos, Switzerland.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa Thailand Bi. Yingluck Shinawatra wakati wa Kongamano la Uchumi Duniani mjini Davos, Switzerland.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Walmart Bw Doug Mc Millon wakati wa Kongamano la Uchumi Duniani mjini Davos, Switzerland.