Bonyeza link hii ili upate kusikiliza mawaidha http://www.mixpod.com/playlist/82531712 ukimaliza kuigonga hii link gonga kwenye kitufe cha play >>  unaweza kusikiliza sauti bila picha,ila ukigonga vizuri chini ya hiyo picha ndogo kuna neno limeandikwa Video unaweza kuona video ya mawaidha hayo.

Kama hukuelewa,au umeshindwa kuipata video,usisite kuutuliza kwa email yetu ya magangaone@gmail.com

Tunawatakia usikiliaji mzuri wa mawaidha hayo.