Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal akisikiliza maelezo kutoka kwa Kamishna Mkuu wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa, wakati akimuelekeza baadhi ya maeneo muhimu yaliyo ndani ya jengo jipya la Makao Makuu ya Polisi, wakati wa uzinduzi wa jengo hilo eneo la Dunga, Wilaya ya Chake, Mkoa wa Kusini Pemba. (Na Mpigapicha Maalumu).