Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt Asha-Rose Migiro alipokutana na Katibu Mtendaji mstaafu wa International Conference on Great Lakes Region (ICGLR) Balozi Liberata Mulamula alipofika kumtembelea kwa mazungumzo ofisini kwake Umoja wa Mataifa mjini New York Ijumaa hii.(Na Michuzi).
0 Comments