Mmoja wa wapangaji waathirika wa mafuriko jijini Dar es Salaam, Kurwa Amir (40), akiwa na mtoto wake aliyejifungua Jumanne iliyopita katika Hospitali ya Amana baada ya kupatwa na uchungu akiwa nje ya lango la Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa ambapo baadhi yao wanaendelea kuweka makazi yao hapo.