Ukarabati ukiendelea kwenye eneo la draja la Kimara _Baruti Wilaya Kinondoni ambapo Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa RFB Dkt, James Wanyancha (pichani hayupo) alikagua maendeleo ya ukarabati. (Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa barabara (RFB) Dkt.James Wanyancha (kulia) akiongea na waandishi wa habari pichani hawapo baada ya kukagua eneo la daraja la Kibo- Msewe katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jan 20,2012 kwa dhumuni la kaungalia matumizi ya maombi na mgao wa fedha za dharura kwaajili ya mkoa wa DSM zilizotolewa na mfuko wa Bodi ya Barabara kwajili ya kukarabati madaraja na makalavati yaliyoharibika na mafuriko mwaka jana
Kibao cha mkandarasi katika ukarabati wa daraja la Tabata Dampo