Akiwa na uso wa furaha rais Kikwete anasalimiana na wazee wenzake wa kijiji cha Msoga ambako amezaliwa rais Kikwete.
Rais Jakaya Kikwete akipeana mkono wa Heri ya Mwaka mpya na baadhi ya wanakijiji wenzake wa Msoga, wlayni Bagamoyo, mkoa wa Pwani, kwenye sherehe za mkesha wa Mwaka Mpya.
Rais Kikwete akisalimiana na watoto wa Msoga.