Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika ukumbi wa Ikulu mjini Zanzibar jana.