Vijana wa leo mnajiita vichaa na huyu wa kitambo tutamuita nani?halafu suala la kumechisha ndio usiseme kabisaa,angalia nywele,nyusi,lips,sikioni,gauni,na hiyo michoro shingoni na usoni kisha malizia kwenye mboni ya jicho ndio ukome kabisa.