Katika baadhi ya shule mjini Mogadishu zimeanza kusomesha wanafunzi wake upya.katika hali isiyokuwa ya kawaida kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyoendelea nchini Somalia vimeweza kusababisha mambo mengi kusitishwa Elimu likiwemo mojawapo kutokana na hali ya usalama kutokuwa shwari.Inasemekana tokea mwaka jana mwezi september wanafunzi wameanza kurejea tena mashulenu ila asilimia 80 bado hawajarejea mashuleni.