Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu Sera uratibu wa bunge William Lukuvi akisaidia kusonga ugali katika kambi ya wathirika wa mafuriko iliypo Shule ya Sekondari ya Benjamini Mkapa wakati waziri mkuu Mizengo Pinda alipotembelea kuangalia hali za wathirika hao jana.