Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo na Balozi wa Marekani nchini, Bw. Alfonso Lenhardt baada ya kufungua Mkutano wa majadiliano ya Kisera kuhusu Matumizi ya Umma na Wiki ya Umaskini kwenye ukumbi wa hoteli ya Blue Pearl - Ubungo Plaza jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo baada ya kufungua Mkutano wa Majadiliano ya Kisera kuhusu Matumizi ya Umma na Wiki ya Umaskini kwenye ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl- Ubungo Plaza jijini Dar es salaam.(Na M. Issa Michuzi)