Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi wa Kitengo cha Afrika wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Cuba, Mhe. Balozi Alberto Velazco San Jose kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam.