Mchezaji wa timu ya taifa ya Ivory Coast akishangilia bao lake la ushindi lililoipeka timu yake fainali hapo jana.
Mchezaji watimu ya taifa ya Zambia akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kupachika bao safi jana dhidi ya Ghana na kuifanya timu yake kufanikiwa kuingia fainali ya mashindano hayo.