Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi nyenzo za kazi Dkt James Msekela baada ya kuapishwa leo kuwa balozi wa Tanzania Italy.
Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Dkt James Msekela kuwa balozi wa Tanzania Italy leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Gharib Mohamed Bilal na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa Mh John Haule (kulia) na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Penaeli Lyimo (kushoto) na Dkt James Msekela baada ya kuapishwa kuwa balozi wa Tanzania Italy leo Ikulu jijini Dar es salaam.Dr James Msekela na Familia yake baada ya kuapishwa na JK kuwa balozi wa Tanzania Italy leo Ikulu jijini Dar.
Dr James Msekela na Familia yake baada ya kuapishwa na JK kuwa balozi wa Tanzania Italy leo Ikulu jijini Dar.
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal wakiongea na Dr James Nsekela na Mkewe baada ya Dr Msekela kula kiapo cha kuwa balozi wa Tanzania nchini Italy leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal wakiongea na Dr James Nsekela na Mkewe baada ya Dr Msekela kula kiapo cha kuwa balozi wa Tanzania nchini Italy leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiongea huku Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali na Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto), wa Tanzania Dr Hussein Mwinyi (wa pili kushoto), na wa Afrika Kusini DKT L.N. Sisulu baada ya mawaziri hao kutiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali wakishuhudia Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto), wa Tanzania Dr Hussein Mwinyi (wa pili kushoto), na wa Afrika Kusini DKT L.N. Sisulu wakitiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali washuhudia awaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto)na wa Tanzania Dr Hussein Mwinyi wakibadilishana nyaraka huku wa Afrika Kusini DKT L.N. Sisulu akitazama baada ya mawaziri hao kutiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali wakiwa katika picha ya pamoja na na Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto), wa Afrika Kusini DKT L.N. Sisulu na wa Tanzania Dkt Hussein Mwinyi baada ya mawaziri hao kutiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali wakiongea na Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto), wa Tanzania Dr Hussein Mwinyi (wa pili kushoto), na wa Afrika Kusini DKT L.N. Sisulu baada ya mawaziri hao kutiliana saini ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.PICHA NA IKULU.