Mshindi wa Mbio za Kilometa 42 za Kilimanjaro Marathon mkiambiaji kutoka Kenya akimaliza mbio hizo.
Pichani ni kundi la wakimbiaji wa Kenya Kilometa 42 wanawake, wakikimbia kwa pamoja na hatimaye kufanikiwa kushinda mbio hizo.
Wakimbiaji wa Mbio za Vodacom Fun Run wakikimbia mbio hizo (Na father K)