Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM kilichofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu ya CCM wakiwa katika kikao kilichofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro)