Ziara ya Mzee Yusuf nchini Marekani ilikuwa bab kubwa,hapa alikuwa akiwapa raha wapenzi wake.
Mfalme wa mipasho akiwa na wapenzi wake wakipata picha ya pamoja kama kuweka kumbukumbu Mzee Yusuf alikuwepo America.
Wacha weee Mzee Yusuf nae yumoooooo....!!!!