Kikundi cha wake wa viongozi nchini kikiwa kwenye picha ya pamoja na mara baada ya kumzawadia Mama Maria Nyerere zawadi mbalimbali ikiwemo tuzo ya heshima ikiwa ni ishara yakutambua mchango wake katika kuleta uhuru wa tanzania,Zawadi hiyo alikabidhiwa na Mama Siti Mwinyi mke wa Rais mstaafu wa awamu ya pili na Mama Anna Makapa ambaye ni Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu ambao walikabidhi kwa niaba ya kikundi hicho kinachoitwa Milenium Women Group ambacho mwenyekiti wake ni Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda na shughuli hiyo ilifanyikia nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Msasani jijini Dar es salaam.