Ujenzi unaolalamikiwa kila kukicha,wananchi acheni kujenga karibu na mikondo ya maji,wananchi acheni kujenga mabondeni kwani hathari za ujenzi kama huu ni kubwa endapo mvua au maji yenye kasi yakiwa yakiwa yanaumomonyoa udongo.Mfano mzuri ni hiyo pichani hapo juu,hapo utailaumu serikali au akili kumkichwa?