Kweli wanawake tumewazidi akili.angalia vizuri mikono yake,alichofanya hapo ni .......kavaa gloves mkono wa kulia ili asiungue,ila ule mkono aliovaa gloves upo nje na mkono hasiovaa gloves ndio kaupeleka kwenye moto.kweli akili ni nywele na kila mwanamke ana zake.(Na mdau wa Maganga One toka Holland)