Linapokuwa jua kali majuu kina dada hupendelea kujiachia kwa kila aina ya staili wanazozipenda wao,kuna wengine hupendelea kutembea na vijiguo vifupiiii ili wawe huru zaidi kupata upepo,kuna wengine hupendelea kwenda pwani kupunga upepo na kuna wengine hupendelea vyote tu.pichani kina dada wakipata picha huku wakishikilia madafu ambayo yalikuwa yakiwashushia ubaridi kwenye makoo yao.
0 Comments