Mwanafunzi wa Skuli ya Ngwachani iliyopo Zanzibar,Selemani Sareh akinywa dawa ya kichocho kuashiria uzinduzi wa kampeni ya kupambana na ugonjwa huo iliyozinduliwa na Naibu Waziri wa Afya wa Zanzibar,Dk. Sira Ubwa Mwamboga (mwenye kiremba).kushoto kwake ni Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya madawa ya kijerumani iitwayo Merck Dr. Karl Ludwig KleyNa Mwandishi Wetu
Weraaaa weraaaaaa sherehe za uzinduzi wa dawa hizo zilikwenda na burudni ya ngoma za asilia.
0 Comments