Ujasiri wa mtoto huanzia pale anapoona nyenendo za mzazi wake katika maisha ya kila siku,mtoto wa kiume siku zote hupendelea kujaribu kila kitu anachokiona toka kwa mzazi wake.Pichani mtoto Denzel akiwa na mdogo wake kwenye pikipiki wakijaribu kuona ni jinsi gani watu huendesha pikipiki hiyo.
0 Comments