Msanii mahiri wa kizazi kipya Diamond akiimba hivi sasa mbele ya umatndai wa watu ndani ya ukumbi wa Mlimani City jijini Dar,kwenye onesho lake maalum iliyoitwa Diamond are Forever Concert
Diamond akiendelea kukamua mbele ya umati wa watu waliofika kulishuhudia onesho lake maalum ndani ya ukumbi wa Mlimani City,jijini dar.