Watu wasiojulikana ambao wanasadikiwa kuwa ni wauza chuma chakavu wamejaribu bila mafanikio kubandua bango la taarifa lililopo katika Barabara ya Morogoro mbele ya Chuo cha Teknolojia (DIT) Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu).