Waziri wa Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo,Abdillah Jihad Hassan akizungumza na Ujumbe wa Kamati ya Ushirikiano na Maendeleo ya Olympic ya Kimataifa I,O,C huko ofisini kwake Kikwajuni.Ujumbe huo ulifika na kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo Program ya Michezo na Mafunzo Mashuleni.
Mkurugenzi wa Kamati ya Ushirikiano na Maendeleo ya Olympic ya kimataifa Thomas Ganda Sithole (wa kwanza kulia) akizungumza na Waziri wa Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo Zanzibar,Abdillah Jihad Hassan huko ofisini kwake Kikwajuni.Ujumbe huo ulifika na kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo Program ya Michezo na Mafunzo Mashuleni.PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI ALI MAELEZO ZANZIBAR