Nchini Tanzania kila gazeti lina kichwa cha habari kuhusu msiba wa Steven Kanumba,na kila mmoja anafuatilia kwa makini kujua chanzo cha kifo chake
Hakuna hasiyeguswa na kifo chake kijana yule kwa kweli Kanumba kaacha pendo kwenye tasnia hii ya filamu za kibongo
Kanumba atakumbukwa daima