Bondia Mada Maugo kushoto na Francis Cheka kulia wakichekeshana baada ya kupima uzito.leo wanapanda juu ya ulingo kupambana mpambano ambao unatarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua ukizingatia kila mmoja analiwania gari ambalo limewekwa kwa mshindi wa pambano hilo.
Pichani hilo ndilo gari na mkanda vinavyoshindaniwa leo hii.