Mwenyekiti wa CCM,Rais Kikwete akiongoza kikao cha kamati kuu ya CCM leo Ikulu jijini Dar es Salaam.