Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Bi. Nuru Millao akiinua juu ripoti ya watalii waliondoka nchini mwaka 2010 ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa ripoti hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Bw. Ibrahim Mussa akipitia kwa umakini kurasa za ripoti hiyo jana  jijini Dar es Salaam.