Bondia Seleman Galile (kulia) akipambanma na Thomas Mashari 'Simba' (kushoto) wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Taifa uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Mashari alishinda kwa pointi na kunyakua ubingwa.
(Picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Bondia Seleman Galile (kushoto) akipambanma na Thomas Mashari 'Simba' (kulia) wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Taifa uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Mashari alishinda kwa pointi na kunyakua ubingwa huo.
Thomas Mashari 'Simba' akiwa na mkanda wa ubingwa wa Taifa