Wanafunzi wa Shule ya Msingi Bahi Misheni wilayani Bahi mkoani Dodoma, wakiwekewa chakula ambacho hutolewa shuleni hapo wakati wa mchana, kama walivyokutwa mwishoni mwa wiki. Mpango wa chakula shuleni umesaidia kupunguza utoro. (Picha na Sifa Lubasi).
0 Comments