Kosa la kwanza baiskeli sio gari la mizigo
Kosa la pili hairuhusiwi  kuhatarisha maisha yake na wengineo kwa makusudi
Kosa la tatu,la nne na la tano unaweza kumalizia wewe msomaji.

Hii yote husababishwa na ugumu wa maisha tunayoishi wanaadamu wa kipato duni,jambo kama hili lisipoangaliwa kwa umakini ni hatari kwa vizazi vinavyokuja.

Enyi mlioaminiwa na kupewa  dhamani,mkainua mikono yenu kwa kula viapo,jitahidini kuhakikisha viapo mlivyokula mnavifanyia kazi kwani msipovifanyia kazi basi kumbukeni siku ya malipo mtalia kwa uchungu.
                                     
                                                     Maganga One.