Yani mwenyewe umejishebedua na kagari kako na vijiguo vyako umeweka juu then umekatiza mitaa ya Mikumi kwa ajili ya kuangalia wanyama mmh ikukute hiyo kasheshe maji utaita mmaa...!!!