Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mh Mathias Chikawe (wa tatu kulia) na Mkurugenzi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Twaweza East Africa Bw Rakash Rajani (wa tatu kushoto) na wadau wakiwa katika mkutano wa kimataifa wa Open Government Partnership jijini Brasilia, Brazil