Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mh Radhia Msuya akiongea na Watanzania waishio jimbo la Gauteng nchini humo kuhusu maswala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuimarisha umoja wao na kushirikiana kwa hali na mali 
Picha ya pamoja baada ya mkutano na Balozi