Hapo ni mzungu akisonga ugali,usifanye mchezo maana ni miguu,mikono na nguvu zinazotumika kwa wakati mmoja huku ugali mwingine ukienda chini bila kutarajia.Mzungu anapotaka lake liwe basi uwa kwa njia yoyote ile,na sisi waswahili usema mtaka cha uvunguni sharti ainame na hapo mzungu ndipo anapoinama kwa kusonga ugali.(picha na James Biboze)