Mwenyekiti waChama Cha Mapinduzi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua tovuti pamoja na Blogu ya CCM katika viwanja vya Ofisi kuu ya CCM Mkoani Dodoma jana jioni.Wapili kushoto ni katibu mwenezi wa CCM Nape Moses Nnauye, Watatu kushoto ni Makamu wa CCM bara Pius Msekwa, Wanne kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Bwana Wilson Mukama na viongozi wengine waandamizi wa Chama

Baadhi ya Wanachama wa CCM walihudhuria uzinduzi wa Blogu ya CCM uliofanyika mjini Dodoma jana jioni.Libeneke la CCM linalokwenda kwa link hii http://www.ccmchama.blogspot.com/ Muonekano wa Tovuti ya CCM iliyozinduliwa mjini Dodoma jana jioni na Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.wazeza itembelea kwa Link Hii http://www.ccm.or.tz/
(picha na Freddy Maro)
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wanachama wa CCM waliohudhuria uzinduzi wa tovuti na blogu ya CCM katika viwanja vya makao makuu ya CCM mjini Dodoma jana jioni.